Hello  Kaka  Michuzi.Pole sana na kazi mjomba...mimi ni mdau wa hapa  MO,ST LOUIS......USA.Naomba  unisaidie kupost hii message ubaoni.
I just drove here  few days  ago from  CA.Naomba unisaidie kupost  nahitaji kuwajua watanzania  wowote waishio  ST LOUIS-MO.
Anyone  interested for  chit chat please  inbox me my E-mail: colleenfra06@gmail.com.
Thank  you  very much
 
Mdau Collen

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. NANINI KAKUTUMA HUKO?HUKU KILA MTU KIVYAKE.MDAU HAPA .HAPA ULIPO

    ReplyDelete
  2. Habari za kazi Collen, ukifika hapo St Louis Ni contact mimi naitwa Billy email ni billy_dar1122@yahoo.com. Kila la heri.

    ReplyDelete
  3. Mdau Collee huko St.Louis Missouri bado wana mabaki ya woga wa Utumwa wa Kimarekai wani watu wengi wanaishi kwa kuogopana.

    Ukitaka Wabongo wanao jichanganya nenda DC, ama Houston TX utawapata.

    Ama kwa msaada zaidi wasiliana na Ubalozi DC angalau wakuelekeze kama hapo pana Tawi la Chama ukipata wana CCM hapo St. Louis MO wanaweza kukupa mkono!!!

    ReplyDelete
  4. Ingia facebook kama unataka ku chit chat. Ila kama una vitu vya muhimu weka hapa tujadili.
    Mdau- St Louis, MO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...