Shafii Mwaijande Ofisa Mtendaji Mkuu wa China Word Buz kwa upande wa Tanzania akizungumza na wafanya biashara wadogo na wakati kwenye ukumbi wa Triple A jijini Arusha wakati wa Semina kwa wafanya biashara hao iliyofanyika leo, kuhusu mfumo utakaosaidia wafanyabiashara wadogo wa Tanzania kutafuta masoko ya bidhaa nchini China na kuwapa taarifa sahihi za masoko kwa msaada wa kampuni hiyo,Mfumo huo hautampa gharama kubwa mfanyabiashara kama vile Usafiri , Chakula, Hoteli.kwani hatalazimika kusafiri kwenda China ili kununua bidhaa badala yake kampuni hiyo itamuagizia na kumfikisha mahali alipo ama kumshauri ni njia gani anaweza kutumia kupata bidhaa kutoka China, kulia ni Ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki wa viwanda 45 nchini China vilivyoingia mkataba wa kibiashara na kampuni hiyo China Bwana Cheng Wang Wu 2Ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki wa viwanda 45 nchini China vilivyoingia mkataba wa kibiashara na kampuni hiyo China Bwana Cheng Wang Wu kushoto akipokea kipaza sauti kutoka kwa Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda ili kujitambulishwa kwa wafanya biashara hao. 3Shafii Mwaijande Ofisa Mtendaji Mkuu wa China Word Buz kwa upande wa Tanzania akiwaelezea na wafanyabiashara wadogo malengo kampuni hiyo katika kuwakomboa wafanya biashara. 5
Wakuu wa Kampuni hiyo wakipiga picha ya pamoja na maofisa wao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...