Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mjadala wa leo ulikuwa ni mzuri na kila mmoja wenu katoa maoni mazuri sana na hasa kwa kila mmoja wenu kusimamia maoni yake kwa kile alichokielewa bila ya kuyumba huku na kule.
    Kitu ninachokiomba kwa mafundi wa Kijiwe hiki, ni kujitahidi kudhibiti "Hound sound" inayokuwepo wakati wachangiaji wakiongea. Jitahidini kuidhibiti kwa kui-filter kwa njia mtakayoweza bila kupunguza quality ya sauti za wachangiaji. Kazi kwenu "Sound Engineers".
    - Mr Mhoja - Sweden

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...