Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais asie na Wizara Maalum,Mh. Prof. Mark Mwandosya (katikati) akiwa pamoja na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania,Dkt. Ben Rugangazi (kushoto) na Bw.Bongani Majura,Mrajisi wa ICTR,Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Rwanda,wakiwa wameshika Mwenge wa kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya Watutsi,nchini Rwanda yaliyotokea mwaka 1994.Kumbukumbu hii imefanyika kwenye ukumbi wa Mlimani city jijini Dar es Salaam.
Maandamano ya vijana wakiwa na mwenge wa Kwibuka katika kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994.
Baadhi ya wageni waalikwa katika kumbukumbu ya 20 ya mauaji ya kimbari ya Rwanda.Kutokea kushoto ni Jenerali Ulimwengu,Bongani Majola,Prof Mwandosya,Mhe.Salim Ahmed Salim,Mwakilishi wa UNHCR,na Balozi Ben Rugangazi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mauaji haya yalikuwa yakutisha, Benako ilisitiri watu wengi wa nchi jirani, mto Kagera ulipoanza kuelea maiti wengi waliacha kula samaki kwa muda mrefu. Poleni wahanga wa Rwanda.

    Waafrika wote hasa nchi ya Afrika ya Kati na Sudan ya kusini wajifunze hasara za chuki.

    ReplyDelete
  2. The genocide was not only against the Tutsi. That is the narration the Tsutsi's would want to portray. The international community including the United Nations recognizes it as a genocide against the "Tutsi and moderate Hutus". Why are we distorting history as the Nazi's did in Germany! The Ministers speech must have been vetted by the Embassy. The reality is, the truth shall never die!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...