Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akichukua fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho katika ofisi kuu za CUF Wilaya ya Magharibi Kilimahewa Zanzibar. Anayemkabidhi ni Kaimu Katibu wa CUF Wilaya ya Magharibi Ussi Juma Hassan.
Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akionyesha fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho katika ofisi kuu za CUF Wilaya ya Magharibi Kilimahewa Zanzibar.
Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na waandashi wa habari katika ofisi kuu za CUF Wilaya ya Magharibi Kilimahewa Zanzibar, baada ya kuchukua fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho (Picha na Salmin Said, OMKR).
Vyama vya upinzani demokrasia iko wapi? Au hizi nafasi ni life term.
ReplyDeleteLabda ukisema utaambiwa msaliti,,
DeleteHiki Chama cha mtu mmoja tu. Wengine wongo!
ReplyDeleteHapo sasa watu wote watafyata mikia yao kwani hakuna atakayethubutu kujitokeza kushindanana na 'maalim'. Na iwapo mtu atafikiria tu kuingia kiringeni dhidi yake huo ndio utakaokuwa mwisho wa uanachama wake kwa CUF, bila Mhe. Hamad Rshid anajua vizuri utamaduni huu!!!!
ReplyDeletemaneno yako sawia maalim seif tangu 98 mpaka leo miaka 16 yy ni katibu mkuu na tangu 95 mpaka leo ni mgombea urais siasa ya tz inahitaji mabadiliko makubwa na tatizo linalosababisha haya kutokuaminiana
ReplyDeleteTumesahau MWALIMU alikuwa Raisi miaka mingapi au vibaya kwa MAALIM tuu.
ReplyDelete