Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad leo amerejesha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama hicho. Fomu hiyo aliyoichukua tarehe 28/05/2015, ameirejesha na kumkabidhi Katibu wa CUF Wilaya ya Magharibi "A" Saleh Mohd Saleh, katika ofisi za Chama hicho zilizoko jimbo la Bububu Zanzibar.
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwasili katika ofisi za Chama hicho zilizoko jimbo la Bububu Zanzibar.
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwasili katika ofisi za Chama hicho zilizoko jimbo la Bububu Zanzibar.
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad leo akiweka sahihi baada ya kuwa ameirejesha na kumkabidhi Katibu wa CUF Wilaya ya Magharibi "A" Saleh Mohd Saleh, katika ofisi za Chama hicho zilizoko jimbo la Bububu Zanzibar.
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akisema machache baada ya kurejesha fomu jizo  katika ofisi za Chama hicho zilizoko jimbo la Bububu Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 01, 2015

    Safari hii usikubari kunong'onezwa walie kobisi......kama mbwai mbwai tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...