Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Muasisi wa Chama cha ASP na muanzilishi wa Chama cha Mapinduzi  Mzee Kombo wakati alipokwenda nyumbani kwake Miembeni kumjulia hali.
Muasisi wa Chama cha ASP na muanzilishi wa Chama cha Mapinduzi Mzee Kombo akimpatia maelezo Balozi Seif juu ya maendeleo ya Afya yake iliyopata mtihani wa maradhi hivi karibuni.
Picha na –OMPR – ZNZ.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...