Meneja uzalishaji wa TBL, Bw. Charles Nkondola akikabidhi zawadi ya bia aina ya Kilimanjaro Twist kwa mshindi wa tatu wa kutambua aina ya ladha ya Bia za  Kampuni ya Bia Tanzania (TB)L, Aloyce Ndeileko wa This Day, iliyofantika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
 Wanahabari wakisikiliza kwa makini masharti ya ushindi ya muomnjaji bora wa ladha za bia za TBL
 Afisa wa TBL, Bw. Benjamin Budigila (kulia), akitoa maelezo kwa waandishi wa habari walipotembelea kiwanda cha kampuni hiyo baada ya semina ya siku moja kuhusu matumizi ya pombe kupita kiasi.
 Afisa wa TBL, Bw. Benjamin Budigila akiwaonyesha waandishi wa habari jinsi wanavyotumia mtandao wa Komputa kuhakiki viwango katika suala zima la uzalishaji wa vinywaji wa kampuni hiyo.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...