Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla (katikati) akikata utepe wakati wa kuzindua jengo la ofisi ya kampuni ya T-MARC Tanzania, Kulia ni  Mkurugenzi mtendaji wa T-MARC Tanzania,Diana Kisaka na kushoto ni  Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya T-MARC, Charles Singili.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla (katikati) akifungua rasmi jengo la ofisi ya T- MARC Tanzania
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza kufanya uzinduzi wa majengo ya kampuni ya T-MARC Tanzania
Wafanyakaiz wa T-MARC Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi wa majengo mawili kumalizika.
Mgeni rasmi akisubiriwa kulizindua jengo hilo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...