Baadhi ya wahitimu wa mwaka 1986 hadi 1995 wa shule ya Sekondari ya Wasichana ya Kilakala , inayomilikiwa na Serikali ambao wameunda umoja wao wakiimba wimbo wa shule ikiwa ni ishara ya kukumbuka walipokuwa wanafunzi shuleni hapo baada ya kufika shuleni hapo Augosti 27, mwaka huu kukabidhi msaada shuka na madogoro kwa ajili ya Zahanati ya shule ambayo pia ilikarabatiwa na michango yao.
Mhitimu wa shule ya Sekondari Kilakala , Claudia Iringo akimkaabidhi mwanafunzi wa shule hiyo madafyari kwa ajili ya wenzao wenye mahitaji maalumu , wahitimu hao wa zamani wapatao 15 waliosoma kuanzia 1988 hadi 1995 waliitembele shule yao hivi karibuni.
Baadhi ya wahitimu wa mwaka 1986 hadi 1995 wa shule ya Sekondari ya Wasichana ya Kilakala , inayomilikiwa na Serikali ambao wameunda umoja wao wakiimba na kicheza kukumbusha enzi zao katika shule hiyo.
Baadhi ya wahitimu wa mwaka 1986 hadi 1995 wa shule ya Sekondari ya Wasichana ya Kilakala , inayomilikiwa na Serikali ambao wameunda umoja wao pamoja na baadhi ya viongozi wa wanafunzi wa shule hiyo, walimu na bodi ya shule wakiwa ndani ya jengo la zahanati ya shule baada ya kukabidhi shuka, magodoro pamoja na madatfari kwa wanafunzi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...