Mpiganaji wa mchezo wa Kick Boxing Emmanuel Shija Kajala maarufu kama "NINJA SHIJA" (kushoto) akiwa na mmoja wa wadau wa mchezo huo Joe Anena katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo tayari kwa safari yake ya kwenda nchini Kenya ambako anatarajiwa kuzipiga na Moses Golola wa Uganda kugombea ubingwa wa Bara la Afrika wa 75 Kg. katika ukumbi wa uwanja wa Kasarani jijini Nairobi October 15, 2016. Taarifa zaidi BOFYA HAPA |
Home
MICHEZO
MPIGANAJI WA KICK BOXING EMMANUEL SHIJA KAJALA "NINJA SHIJA" APAA KWENDA KENYA, KUZIPIGA OCTOBER 15.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...