Mtaalamu wa Mazingira wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Ramadhani Nyambuka akisistiza jambo kwa waandishi wa habari kuhusu huduma kwa mteja wakati wa semina ya waandishi wa habari kuelekea kilele cha maadhimisho ya wiki ya maji Machi 22 mwaka huu
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Dorra Killo akizungumza jambo wakati wa kikao hicho leo 
Afisa Ankra wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga( Tanga Uwasa) Ruluani Luambo akisistiza jambo wakati wa semina hiyo 
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Dorra Killo akifuatilia matukio mbalimbali kwenye semina hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...