Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Sabetha
Mwambenja akifafanua jambo kwa mam lishe mbalimbali wa Dar es Salaam wakati wa
semina ya mafunzo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, Benki hiyo itawawezesha
Mama lishe wote nchini kwa kuwaunganisha na huduma za bima ya matibabu na bima
ya mazishi, huku wakiwezeshwa kutumia huduma za benki hiyo. Huduma hizo
zinatotela kwa kushirikiana na Taasisi ya Basila Mwanukuzi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Sabetha
Mwambenja (Katikati) akisisitiza jambo kwa Kiongozi wa mama Lishe jijini Dar es
Salaam, Getruda Kweka wakati akizungumza na waandishi wa habari, Benki hiyo
itawawezesha Mama lishe wote nchini kwa kuwaunganisha na huduma za bima ya
matibabu na bima ya mazishi, huku wakiwezeshwa kutumia huduma za benki hiyo. Kulia
ni Mwanzilishi wa Taasisi ya Basila Mwanukuzi.
Mama lishe wakiwa wanasikiliza maelezo kutoka kwa
maofisa wa benki, ( Hawapo pichani)
Picha ya Pamoja
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...