Mkurugenzi
wa Kampuni ya Msama Promotions, waandaaji wa tamasha hilo, Alex Msama
(wa nne kushoto), akimkabidhi Tuzo aliyomtunuku Makamu wa Rais Samia
Suluhu Hassan, Mgeni rasmi wa tamasha hilo, Waziri wa Mambo ya Ndani ya
nchi, Mwigulu Nchemba aliyeipokea kwa niaba yake, wakati wa tamasha
hilo.
Wachungaji walioohudhuria tamasha hilo, wakimwombea mwimbaji, Solly Mahlangu (chini aliyepiga magoti), kutoka Afrika Kusini, wakati alipotumbuiza kwenye tamasha hilo jana jijini.
Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Martha Mwaipaja, akitumbuiza katika tamasha hilo.
Mashabiki
waliohudhuria katika Tamasha la Pasaka wakifuatilia matukio mbalimbali
yaliyokuwa yakitendeka na kupiga picha za selfi, uwanjani hapo.
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Msama Promotions, waandaaji wa tamasha hilo, Alex Msama
(kulia), akiimba sambamba na mwimbaji wa nyimbo za Injili, Martha
Mwaipaja, wakati akitumbuiza katika tamasha hilo.
Mgeni
rasmi wa tamasha hilo, Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mwigulu
Nchemba, akipongezwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda
(kushoto), mara baada ya kumaliza kutoa hotuba yake. Katikati ni
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, waandaaji wa tamasha hilo,
Alex Msama.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...