Familia ya Kabisama inasikitika kuwaarifu kifo cha marehemu mpendwa wao Professor Henslay William Kabisama kilichotokea huko Ontario, Southern California, Marekani, tarehe 26 June, 2017
Taratibu za kusafirisha mwili zinafanywa na tutawaarifu Karibuni. Kwa ndugu, wafanyakazi wenzake na wanafunzi wake wanaweza kuwasiliana zaidi kwa namba hizi:
Hellen Nkoma+255 784 604 256
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...