Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wa kwanza kushoto akisalimiana na viongozi  wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Kigoma baada ya kumaliza kikao  katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma katika ziara yake ya kikazi mkoani humo.  Picha na Jeshi la Polisi.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wa kwanza kushoto akiwa na Askari wa kikosi cha kupambana na uhalifu katika mazoezi ya viungo mkoani Kigoma (CRT) wakati wa ziara yake ya kikazi.  Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati) na kushoto kwake ni Kamandn cbja wa Polisi Mkoa wa Kigoma  ACP Martin L. Otieno wakiwa katika picha ya pamoja na Askari wa kikosi cha kupambana na uhalifu mkoani Kigoma baada ya kumaliza kukagua mazoezi ya ukakamavu.  Picha na Jeshi la Polisi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Huyu ni IGP wa kwanza ambaye yukovery engaging na askari wake pamoja na raia. Huu ni mfano wa kiongozi bora. Sio wale nanaopata madaraka na kubweteka au kutumia madaraka vibaya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...