Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha kikao KAmati Kuu ya chama hicho ukumbi wa mikutano wa White House mjini Dodoma leo Desemba 17, 2017.
Mwenyekiti wa CCM,Rais Dkt John Pombe Magufulia akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho (Zanzibar),Dkt Shein
Katibu MKuu wa CCM Ndugu Abdulrahmani Kinana akizungumza jambo kabla ya kikao cha Kamati kuu ya chama cha Mapinduzi kuanza ndani ya ukumbi wa mikutano wa white House mjini Dodoma leo Desemba 17,2017.
Baadhi ya Wajumbe wa kikao cha Kamani Kuu ya CCM wakipiga makopi ya kumkaribisha Mwenyekiti wa chama hicho,Rais Dkt John Pombe Magufuli kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati kuu ya chama cha Mapinduzi ndani ya ukumbi wa mikutano wa white House mjini Dodoma leo Desemba 17,2017.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana akizungumza katika
kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika
katika Ukumbi wa White House mjini Dodoma.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa
ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wakiimba mara baada ya Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika ukumbi wa Chama cha
Mapinduzi (White House) mjini Dodoma leo.
PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...