Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiagana na Mapadri
baada ya ibada ya Jumapili katika Kanisa Kuu la Matakatifu Paulo wa
Msalaba la Jimbo Kuu la Katoliki la Dodoma leo Desemba 17, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa na waumini wengine kwenye ibada ya
Jumapili katika Kanisa Kuu la Matakatifu Paulo wa Msalaba la Jimbo Kuu
la Katoliki la Dodoma leo Desemba 17, 2017

Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo akiwa
na waumini wengine kwenye ibada ya Jumapili katika Kanisa Kuu la
Matakatifu Paulo wa Msalaba la Jimbo Kuu la Katoliki la Dodoma leo
Desemba 17, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimia waumini baada ya ibada ya Jumapili katika Kanisa Kuu la
Matakatifu Paulo wa Msalaba la Jimbo Kuu la Katoliki la Dodoma leo
Desemba 17, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na waumini baada ya ibada ya Jumapili katika Kanisa Kuu la

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...