Mkurugenzi na Mwanzilishi mwenza wa Tasisi ya Launch Pad Tanzania, Henry Kulaya, akizungumza na Vijana waliofika katika mafunzo ya siku mbili ya Ujasiliamali na Kuongeza Maarifa ya kuweza kuajirika katika tasisi mbalimbali nchini.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Tasisi ya Niajiri Platform, Lillian Madeje akizungumza na Vijana namna ya kuandaa Cv zao ili  ziwasaidie kupata ajira kw aurais kupitia Mtnadao wake wa Niajiri Tanzania.
 Mkurugenzi ya Taasisi ya kuwezesha Vijana ya Empower Limited, Miranda Naiman akieleza namna taasisi yake ilivyojikita katika kuwasaidia vijana kujikwamua kiuchumi katika kipindi hiki ambacho Dunia inapitia changamoto ya uhaba wa ajira.
  Mkurugenzi na Mwanzilishi mwenza wa Taasisi ya Launch Pad Tanzania,Carol Ndosi akichangia jambo katika mjadala wa kuongeza maarifa kwa vijana hili waweze kupata ajira kwa uraisi hili waweze kujikwamua kiuchumi
 Mmoja wa Vijana walioshiriki katika Kongamano hilo akieleza jambo juu ya umuhimu wa Vijana kuwa na Maadili kazini
Vijana walioshiriki kongamnao la Vijana Ujasiliamali na kuongeza maharifa hili waweze kuajirika katika mashirika mbalimbali lililoandaliwa na Taasisi ya The Launch Pad

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...