Mkurugenzi mwandamizi wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (National Defence College –NDC) Tanzania Balozi, Peter Kallaghe akimkabithi zawadi Kamishna wa Utawala, Fedha na Lojistiki, Albart Nyamhanga, leo walipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Polisi. Picha na Jeshi la Polisi.
Kamishna wa Utawala, Fedha na Lojistiki, Albart Nyamhanga, akimkabithi zawadi Mkurugenzi mwandamizi wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (National Defence College –NDC) Tanzania, Balozi, Peter Kallaghe leo walipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Polisi.
Kamishna wa Jeshi la Polisi wa Utawala, Fedha na Lojistiki Albert Nyamhanga wanne kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa kozi ya Ulinzi wa Taifa kutoka Chuo cha Taifa cha Ulinzi (National Defence College –NDC) Tanzania, walipokuja kutembelea Makao Makuu ya Jeshi la Polisi leo wakiongozwa na Mkurugenzi mwandamizi wa Chuo hicho Balozi, Peter Kallaghe wa pili kutoka kushoto. Picha na Jeshi la Polisi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...