Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini, Joyce Fissoo akitoa maelekezo kwa wasanii wa Filamu wa Mkoa wa Arusha wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wasanii wa filamu wa mkoa huo yaliyofanyika leo jijini Arusha. Zaidi ya wasanii mia moja wamepatiwa mafunzo hayo.
 Afisa Utamaduni wa Mkoa wa Arusha, Irene Ngao (kushoto) akizungumza na Wasanii wa Filamu wa Mkoa wa Arusha (hawapo pichani) wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wasanii wa filamu yaliyofanyika leo jijini Arusha. Zaidi ya wasanii mia moja wamepatiwa mafunzo hayo.
 Wasanii wa Filamu wa Mkoa wa Arusha wakifuatilia mafunzo ya uandaaji wa filamu yaliyofanyika leo jijini Arusha, mafunzo hayo yaliyoratibiwa na Bodi ya Filamu Tanzania yamehusisha zaidi ya wasanii mia moja.
 Kaimu Afisa Elimu Wilaya ya Arusha Mjini, Antony Mushi akifunga mafunzo ya kuwajengea uwezo wasanii wa Filamu wa Mkoa wa Arusha yaliyofanyika leo jijini Arusha. Mafunzo hayo yameratibiwa na Bodi ya Filamu Tanzania ambapo zaidi ya wasanii mia moja wamepatiwa mafunzo.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini, Joyce Fissoo (wa kwanza kushoto) akicheza ngoma na wasanii wa kikundi cha ngoma cha Mtikisiko Sanaa Group cha jijini Arusha wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wasanii wa filamu mkoani humo mapema hii leo. Zaidi ya wasanii mia moja wamepatiwa mafunzo hayo. Picha Zote Na Octavian Kimario WHUSM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...