Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa  kampuni ya Bharti Bi. Tina Uneken-van de Vreede akiwa ameongozana na mwanasheria mkuu wa kampuni hiyo Bw. Mukesh Bhavnani pamoja na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa kampuni ya Airtel Tanzania Bi. Beatrice Singano walipowasili kwa ajili ya kuanza rasmi kwa mazungumzo kati ya Serikali na kampuni hiyo kwa lengo la kufikia makubaliano yatayokuwa na tija kwa pande zote mbili kuhusu umiliki wa Airtel Tanzania leo Machi 12, 2018 jijini Dar es salaam
 Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa  kampuni ya Bharti Bi. Tina Uneken-van de Vreede (kushoto) akiwa na mwanasheria mkuu wa kampuni hiyo Bw. Mukesh Bhavnani (kushoto kwa waziri) pamoja na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa kampuni ya Airtel Tanzania Bi. Beatrice Singano (kushoto) walipowasili kwa ajili ya kuanza rasmi kwa mazungumzo kati ya Serikali na kampuni hiyo kwa lengo la kufikia makubaliano yatayokuwa na tija kwa pande zote mbili kuhusu umiliki wa Airtel Tanzania leo Machi 12, 2018 jijini Dar es salaam 
 Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akipeana mikono na mwanasheria mkuu wa kampuni ya Bharti  Bw. Mukesh Bhavnani walipokutana  kwa ajili ya kuanza rasmi kwa mazungumzo kati ya Serikali na kampuni hiyo kwa lengo la kufikia makubaliano yatayokuwa na tija kwa pande zote mbili kuhusu umiliki wa Airtel Tanzania leo Machi 12, 2018 jijini Dar es salaam  at5
 Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akiongozana na mwanasheria mkuu wa kampuni ya Bharti  Bw. Mukesh Bhavnani  pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa  kampuni ya Bharti Bi. Tina Uneken-van de Vreede na  Mkurugenzi wa Mawasiliano wa kampuni ya Airtel Tanzania Bi. Beatrice Singano  walipokutana  kwa ajili ya kuanza rasmi kwa mazungumzo kati ya Serikali na kampuni hiyo kwa lengo la kufikia makubaliano yatayokuwa na tija kwa pande zote mbili kuhusu umiliki wa Airtel Tanzania leo Machi 12, 2018 jijini Dar es salaam  
Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akiongoza ujumbe wa serikali katika mazungumzo na mwanasheria mkuu wa kampuni ya Bharti  Bw. Mukesh Bhavnani  pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa  kampuni hiyo Bi. Tina Uneken-van de Vreede na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa kampuni ya Airtel Tanzania Bi. Beatrice Singano  walipoanza rasmi mazungumzo yenye lengo la kufikia makubaliano yatayokuwa na tija kwa pande zote mbili kuhusu umiliki wa Airtel Tanzania leo Machi 12, 2018 jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...