Umoja wa Wabunge wa Mkoa wa Dodoma ukiongozwa na Mhe. Fatma Hassan Toufiq (MB) walipokutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) ukiongozwa na Mkuu wa Chuo Prof. Tadeo Satta kwenye ukumbi wa Spika wa Bunge la Muungano.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...