Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia (WB) nchini Bella Bird aliyekutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam  Oktoba 9, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo  na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia (WB) nchini Bella Bird na ujumbe wake walipokutana na kufanya nao mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 9, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na  Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia (WB) nchini Bella Bird na ujumbe wake walipokutana na kuzungumza Ikulu jijini Dar es salaam  Oktoba 9, 2018.
Picha na IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...