Wafanyakazi wa kampuni ya mawasiliano ya Zantel wakifanya usafi soko la Mgandini jijini Tanga, kama sehemu ya huduma zao kwa jamii. Wafanyakazi wa Zantel walikuwa jijini Tanga kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni yake mpya maalum kwa mikoa ya Pwani, ijulikanayo kama BAO. Baada ya Usafi, Zantel ilikabidhi vifaa vya kufanyia usafi kwa uongozi wa soko la Mgandini ili viendelee kusaidia kuweka mazingira ya soko hilo katika hali ya usafi. Picha na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG. Wafanyakazi wa kampuni ya mawasiliano ya Zantel wakifanya usafi soko la Mgandini jijini Tanga, kama sehemu ya huduma zao kwa jamii. Wafanyakazi wa kampuni ya mawasiliano ya Zantel wakikabidhi vifaa vya kufanyia usafi kwa uongozi wa soko la Mgandini ili viendelee kusaidia kuweka mazingira ya soko hilo katika hali ya usafi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...