Naibu Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso (Mb) jana amehitimisha ziara Ruangwa Mkoani Lindi kwa kukagua miradi ya Kitandi,
Mihewe na Mbekenyera. Aidha Aweso amefanya ziara Wilayani
Nachingwea kwa kukagua miradi ya Mtua na Chimbendenga.
Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso akipewa maelezo juu mitambo ya kusafisha maji ya mradi wa Mbekenyera – Ruangwa.
Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso akiongea na Mkazi wa Mtua
alipokuwa akikagua mradi wa maji katika kijiji hicho wakati wa ziara
yake aliyoifanya jana
Naibu wa Maji Jumaa Aweso akiongea na wananchi wa Chimbenenga Nachingwea wakati wa wa ziara yake ya kukagua miradi ya maji.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...