Mratibu wa Usambazaji na Tigo Pesa Mkoa wa Kilimanjaro Wolfgan Miraro akimkabidhi mfano wa Hundi ya Shilingi milioni moja  mmoja wa washindi wa Promosheni ya Jigftishe Yussuph Miraro kutoka mkoani Arusha. 
 Mratibu wa Usambazaji na Tigo Pesa Mkoa wa Kilimanjaro Wolfgan Miraro akimkabidhi mfano wa Hundi ya Shilingi milioni moja mmoja wa washindi wa Promosheni ya Jigiftishe mkazi wa Moshi mkoani Kilimanjaro Hilda Lema.
 Mratibu wa Usambazaji na Tigo Pesa Mkoa wa Kilimanjaro Wolfgan Miraro akimkabidhi Mkazi wa Moshi mjini, mkoani Kilimanjaro Albina Mmbaga mfano wa Hundi ya Shilingi milioni moja baadaya kufanikiwa kuibuka mshindi wa Promosheni ya Jigiftishe.
Mratibu wa Usambazaji na Tigo Pesa Mkoa wa Kilimanjaro Wolfgan Miraro (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa zawadi ya shilingi milioni moja wlizoshinda kupitia promosheni ya Tigo Jigiftishe kutoka mkoa wa Kilimanjaro na Arusha muda mfupi baada ya kuwakabidhi zawadi zao mjini Moshi jana.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...