Waziri  wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe akielekea kukagua timu katika mechi baina ya timu za mikoa jirani Mtwara na Lindi katika ufunguzi wa mashindano ya michezo ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule za Msingi Tanzania  (UMITASHIMTA) yanayofanyika kitaifa kwenye viwanja vya :awi Nangwanda Sijaona mkoani mtwara kulia ni mwakilishi kutoka ofisi ya Rais,  Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI) Bw. Benjamin Hoganga
 Waziri  wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe akikagua timu kabla ya mechi baina ya mikoa jirani Mtwara na Lindi katika ufunguzi wa mashindano ya UMITASHIMTA  yanayofanyika kitaifa kwenye viwanja vya :awi Nangwanda Sijaona mkoani mtwara
 Waziri  wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe akiwa na timu ya mkoa wa  Lindi katika ufunguzi wa mashindano ya michezo ya  UMITASHIMTA yanayofanyika kitaifa kwenye viwanja vya :awi Nangwanda Sijaona mkoani mtwara
 Waziri  wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe akiwa na timu ya mkoa wa  Mtwara katika ufunguzi wa mashindano ya michezo UMITASHIMTA yanayofanyika kitaifa kwenye viwanja vya :awi Nangwanda Sijaona mkoani mtwara
Waziri  wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison  Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa mkoa wa Mtwara wakati wa ufunguzi wa mashindano ya michezo ya UMITASHUMTA kwa shule mbalimbali za msingi hapa nchini yanayofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Lawi Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara. Kulia ni mkuu wa mkoa huo Mhe. Gelasius Byakanwa na kushoto ni mkuu wa wilaya ya Mtwara Mhe. Evod Mmanda. Wengine ni waamuzi wa mpira wa miguu katika mechi ya ufunguzi kwa mikoa jirani ya Mtwara na Lindi.
Picha zote na Fatna Mwinyimkuu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...