Miili ya wafanyakazi watano wa Azam Media ambao ni Salim Mhando (muongozaji wa matangazo), Florence Ndibalema (Mhandisi wa Sauti), Sylvanus Kasongo (Mhandisi Mitambo) na wapiga picha wawili Said Haji na Charles Wandwi ikiwa kwenye viwanja vya ofisi ya Azam Media kwa ajili ya kuagwa.

Mkurugezi na Mmiliki wa kampuni ya Bakhresa Group of Companies Said Salim Bakhresa(kushoto) akizungumza na Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe(katikati) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda wakati wa kugwa kwa miili ya wafanyakazi watano wa Azam Media waliofariki kwenye ajali walipokuwa njiani kwenda kurusha matangazo mbashara ya uzinduzi wa Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato.

Wafanyakazi wa Azam TV waliofariki kwenye ajali hiyo ni Salim Mhando (muongozaji wa matangazo), Florence Ndibalema (Mhandisi wa Sauti), Sylvanus Kasongo (Mhandisi Mitambo) na wapiga picha wawili Said Haji na Charles Wandwi.







Magari yaliyobeba miili ya wafanyakazi watano wa Azam waliofariki kwenye ajali walipokuwa njiani kwenda kurusha matangazo mbashara ya uzinduzi wa Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato ikiwasili kwenye ofisi za Azam Media zilizopo Tabata jijini Dar es Salaam.









Miili ya wafanyakazi watano wa Azam Media akibebwa kuelekea eneo la kuagia.
 Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe
akitoa salamu za rambirambi kwa uongozi wa Azam Media pamoja na wafiwa wakati wa kuagwa miili ya wafanyakazi watano wa Azam. Pamoja na kutoa onyo kwa wale wanatumia simu pamoja na mitandao ya kijamii wanaoposti picha za watu waliofariki.
Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akitoa salamu za rambirambi kwa uongozi wa Azam Media pamoja na wafiwa wakati wa kuagwa miili ya wafanyakazi watano wa Azam.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akitoa salamu za rambirambi kwa uongozi wa Azam Media pamoja na wafiwa wakati wa kuagwa miili ya wafanyakazi watano wa Azam.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole akitoa salamu za rambirambi kwa uongozi wa Azam Media pamoja na wafiwa wakati wa kuagwa miili ya wafanyakazi watano wa Azam. 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe akitoa salamu za rambirambi kwa uongozi wa Azam Media pamoja na wafiwa wakati wa kuagwa miili ya wafanyakazi watano wa Azam. 
 Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Azam TV, Tido Mhando akitoa salamu za rambirambi kwa  niaba ya uongozi wa Azam Media kwa wadau mbalimbali wa Tasnia ya habari pamoja na ndugu na jamaa wakati wa kuagwa miili ya wafanyakazi watano wa Azam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Mhandisi James Kilaba akitoa salamu za rambirambi kwa uongozi wa Azam Media pamoja na wafiwa wakati wa kuagwa miili ya wafanyakazi watano wa Azam.
Mkurugenzi wa TBC, Ayoub Rioba akitoa salamu za rambirambi kwa uongozi wa Azam Media pamoja na wafiwa wakati wa kuagwa miili ya wafanyakazi watano wa Azam.
  Mkurugenzi wa TBC, Ayoub Rioba(kushoto) akitoa rambirambi kwa niaba ya wafanyakazi wa TBC kwa Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Azam TV, Tido Mhando wakati wa kuagwa miili ya wafanyakazi watano wa Azam Media.


Mkurugenzi Mtendaji ITV/Radio One Joyce Mhavile akitoa salamu za rambirambi kwa uongozi wa Azam Media pamoja na wafiwa wakati wa kuagwa miili ya wafanyakazi watano wa Azam. 













 


Baadhi ya waandishi wa habari wakichukua matukio mbalimbali wakati wa Shughuri ya kuagwa kwa miili ya wafanyakazi watano wa Azam waliofariki kwenye ajali.
























Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...