Mkutano wa SADC ambao unaendelea umebeba madhumuni ya kuangalia mwenendo mzima wa hali ya mazingira na mabadiliko ya Tabianchi ikiwa ni pamoja na kubainisha utekelezaji wa mikakati ya hifadhi ya usimamizi wa mazingira
Mkutano huo leo utaingia hatua ya pili ya makatibu wakuu baada ya wataalamu kumaliza ngwe yao jana na utafunguliwa na Waziri mwenye dhamana ya utalii Dkt.Khamis Kigwangalah kwenye Kituo cha mikutano ya Kimataifa AICC jijini hapa
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...