Katibu Mkuu Dkt. Zainab Chaula akipokea moja ya vifaa vya uelimishaji kutoka kwa Mkurugenzi Mkazi wa shirika la Save the Children Bw. Pete Walsh.Katibu Mkuu  Wizara ya Afa, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto(Afya) Dkt. Zainab Chaula leo amepokea vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 27 kutoka kwa shirika la Save the Children kwa ajili ya elimu ya afya kwa umma
 Mkurugenzi Mkazi Pete Walsh akimuonesha Dkt. Chaula moja ya jarida wanalolitengeneza shirika hilo kuhusiana na lishe ambalo lina lugha ya kiswahili na kiingereza
 Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Save the Children Bw. Pete Walsh akiongea na Katibu Mkuu kuhusu msaada huo ikiwa ni moja ya kuisaidia Serikali katika utoaji wa elimu kwa umma, katikati ni Mkurugenzi wa sera na mipango Bw. Edward Mbanga
 Katibu Mkuu Dkt. Zainab Chaula(katikati) akifurahia jambo wakati wa makabidhiano hayo,kulia ni Mganga Mkuu wa Serikali.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...