Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akisikiliza kwa makini hoja za wabunge katika katika kikao cha kamati kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, ambapo kamati ilipokea Taarifa ya utekelezaji na hali ya upatikanaji wa fedha za maendeleo katika Kampuni ya Taifa ya Mafuta (TPDC) kwa kipindi cha nusu mwaka.pembeni yake ni Mwanasheria  Mkuu wa Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini wakiwa katika kikao cha kamati kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, ambapo kamati ilipokea Taarifa ya utekelezaji na hali ya upatikanaji wa fedha za maendeleo katika Kampuni ya Taifa ya Mafuta (TPDC) kwa kipindi cha nusu mwaka.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Dunstan Kitandula akisikiliza hoja za wajumbe katika kikao cha kamati kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, ambapo kamati ilipokea Taarifa ya utekelezaji na hali ya upatikanaji wa fedha za maendeleo katika Kampuni ya Taifa ya Mafuta (TPDC) kwa kipindi cha nusu mwaka.pembeni yake ni Katibu wa Kamati hiyo Felister Mgonja.

PICHA NA OFISI YA BUNGE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...