Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (Kushoto), akisoma Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara hiyo katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika Bungeni, Jijini Dodoma leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu. (Picha Na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (Kushoto), akisoma Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara hiyo katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika Bungeni, Jijini Dodoma leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu. (Picha Na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu (Kushoto), akitoa maelekezo kwa baadhi ya Viongozi wa Vyombo vilivyomo ndani ya Wizara hiyo, kabla ya kuanza Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika Bungeni, Jijini Dodoma leo. (Picha Na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...