Wananchi wakiangalia bajaj iliyogongwa na gari aina ya Noah  katika barabara ya Goba Wilaya ya Ubungo jijijni Dar es Salaam, ambapo chanzo cha ajali hiyo ni mwendo mkali wa gari hiyo ambapo pia dereva wa Bajaj alijeruhiwa.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)


Bajaji iliyogongwa na  Gari aina ya Noah ikiwa katika  eneo la Mbezi Luis Wilaya ya Ubungo Barabara ya Goba kama inavyo onekana pichani chanzo cha ajali hiyo ni mwendo mkali wa gari hiyo ambapo pia dereva wake alijeruhiwa.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...