Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza leo 23.01.2020 amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Chama cha Viziwi cha KISUVITA ambapo amewapongeza kwa kuwa mwenyeji wa mashindano ya Miss Deaf Afrika na  amewaahidi kuwapa ushirikiano katika kuhakikisha mashindano hayo yanafanikiwa.Mashindano hayo yatakayojumuisha nchi zaidi ya 14 kutoka Afrika yanatarajiwa kufanyika mwezi Aprili.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...