Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola akijadiliana jambo na aliyekuwa Kamishna Jenereli wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye hivi karibuni.Viongozi hao Wawili Uteuzi wao umetenguliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli leo hii kwenye hafla ya kukabidhi nyumba za Maofisa wa Magereza Ukonga jijini Dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...