Ankal ndani ya Ze Fulanazzzz akiwa na malkia wa utangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Ujerumani Bi Ummy Oumilkheir Hamidu alipotembelea kituo hicho cha redio ya Kimataifa jijini Bonn, Ujerumani March 11,  2008. Mtangazaji huyu amestaafu wiki hii baada ya kutumikia DW kwa miaka 42.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...