Kaimu Kamishna wa Fedha za Nje toka Wizara ya Fedha na Mipango, Bw.
Robert Mtengule akiongoza kikao cha mapitio ya Bajeti ya Ofisi ya
Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) leo jijini Dodoma.
Mkuu wa Kitengo cha Mipango, Ufuatiliaji na Tathmini Ofisi ya Masajili
wa Vyama vya Siasa, F. Mazone akizungumza wakati wa kikao cha mapitio ya
Bajeti ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) leo jijini Dodoma.
Kulia ni Kaimu Kamishna wa Fedha za Nje toka Wizara ya Fedha na
Mipango, Bw. Robert Mtengule.
Afisa Usimamizi wa Fedha(FMO) kutoka Wizara ya Fedha na Mipango,Bw.
Ezekiel Odipo ambaye pia ni Msimamizi wa Dawati la Bajeti ya Ofisi ya
Msajili wa Vyama vya Siasa akichangia mada wakati wa kikao cha mapitio
ya Bajeti ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) leo jijini
Dodoma.
Baadhi ya wajumbe Kikao cha Mapitio ya Bajeti ya Ofisi ya Msajili wa
Vyama vya Siasa ya Mwaka 2020/2021 toka ofisi hiyo wakifuatilia maoni ya
Mwenyekiti wa kikao hicho ambaye pia ni Kaimu Kamishna wa Fedha za Nje
toka Wizara ya Fedha na MipangoBw. Robert Mtengule katika kikao
kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa ORPP jijini Dodoma.
Baadhi ya wajumbe wa kikao cha Mapitio ya Makadirio ya Bajeti ya Mwaka
2020/2021 ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) toka Wizara ya
Fedha na Mipango wakifuatilia maoni ya Mwenyekiti wa kikao hicho ambaye
pia ni Kaimu Kamishna wa Fedha za Nje toka Wizara ya Fedha na Mipango
Bw. Robert Mtengule (hayupo pichani) katika kikao kilichofanyika kwenye
ukumbi wa mikutano wa ORPP jijini Dodoma.
Baadhi ya wajumbe wa kikao cha Mapitio ya Makadirio ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP) toka ofisi hiyo wakifuatilia maoni ya Mwenyekiti wa kikao hicho ambaye pia ni Kaimu Kamishna wa Fedha za Nje toka Wizara ya Fedha na MipangoBw. Robert Mtengule (hayupo pichani) katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa ORPP jijini Dodoma.Kikao hicho kimehusisha wajumbe kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Wizara ya Fedha na Mipango. (Picha na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa - ORPP)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...