Mkuu wa Mauzo, Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Ziwa, Ayubu Kalufya (kulia) akimkabidhi funguo mshindi wa kwanza wa bahati nasibu ya promosheni ya Vodacom Shangwe Shangwena, Bi. Happiness Manembe Apollo ambaye ni mkazi wa Biharamulo aliyejishindia gari jipya aina ya Renault KWID. Promosheni hiyo itawezesha watumiaji wa M-Pesa kujishindia magari mapya 5 pamoja na zawadi kemkem zenye thamani ya zaidi ya shilingi 5 bilioni, unachotakiwa kufanya ni kutumia huduma ya M-Pesa kadri uwezavyo katika msimu huu wa sikukuu. Jumla ya magari matano, pesa taslimu shilingi milioni 25 na zawadi zenye thamani ya zaidi ya shilingi 3 bilioni kutolewa ndani ya wiki 5
Sehemu ya umati uliojitokeza kwenye hafla ya makabidhiano ya gari kwa mshindi wa promosheni ya Shangwe Shangwena iliyofanyika stendi ya mabasi mjini Biharamulo
Meneja Masoko wa Vodacom Tanzania PLC, Grace Kijo (kulia) akimkabidhi mshindi wa kwanza wa promosheni ya Shangwe Shangwena, Bi. Happiness Manembe Apollo fulana mara baada ya kuzawadiwa gari aina ya Renault KWID.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...