Mwenyekiti wa Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) Brigedia Jenerali Suleiman Gwaya (wakwanza kulia) akimkaribisha mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrisa Kitwana katika kikao cha kamati tendaji ya michezo ya Majeshi.

Katibu Mkuu Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) Kanali. Martin Msumari akitoa tarifa ya michezo kwa Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrisa Kitwana.

Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrisa Kitwana akifungua Mkutano wa siku mbili wa Kamati Tendaji ya Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.

 Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa Kamati tendaji ya Michezo ya Majeshi Tanzania wakifuatiklia hotuba ya mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrisa Kitwana (hayupo pichani).

Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrisa Kitwana (katikati) katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati tendaji ya Michezo ya Majeshi Tanzania.

Picha na Makame Mshenga KMKM.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...