Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary Majaliwa (kushoto) wakimfariji, Mwenyekiti wa Chama cha TLP Taifa, Augustine Mrema ambaye Septemba 16, 2021 alifiwa na mkewe , Rose Mrema. Walikwenda nyumbani kwa Mheshimiwa Mrema eneo la Kiraracha Moshi, Septemba 23, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mwenyekiti wa TLP Taifa, Augustine Mrema na wanae wakati alipokwenda nyumbani kwa Mwenyekiti huyo eneo la Kiraracha Moshi, Septemba 23, 2021 kuhani msiba wa Mke wa Mheshimiwa Mrema, Rose kilichotokea Septemba 16, 2021. Watoto hao ni Peter Mrema (kulia), Kelekensia Mrema (wa pili kulia), Mary Mrema (wa tatu Kulia) na Michael Mrema (wa tatu kushoto)(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza waombolezaji wakati alipokwenda nyumbani kwa Mwenyekiti wa TLP Taifa, Agustine Mrema, eneo la Kiraracha Moshi, Septemba 23, 2021 kuhani msiba wa Mke wa Mwenyekiti huyo, Rose Mrema aliyefariki Septemba 16, 2021. Wa pili Kulia ni Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...