Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi), Bw. Gabriel Migire, akizungumza na Menejimenti ya Wizara na Wakuu wa Taasisi wakati wa halfa ya kusaini mikataba ya utendaji kazi kati ya Wizara na Taasisi 14 zilizopo chini ya Sekta hiyo, jijini Dodoma.



Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango kutoka Sekta ya Uchukuzi, Bi. Naima Mrisho, akitoa taarifa kwa Menejimenti na Wakuu wa Taasisi 14 zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi), katika kikao kazi cha utiaji saini wa utendaji kazi, jijini Dodoma.



Afisa Usafirishaji Mkuu Sekta ya Uchukuzi, Bw. Alphonce Mwingira, akitoa maoni katika kikao kazi cha Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi), kilichowakutansha Menejimenti na Wakuu wa Taasisi 14 wa Sekta hiyo, jijini Dodoma.



Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi), Bw. Gabriel Migire, akisaini mkataba wa utendaji kazi na Wakuu wa Taasisi 14 zilizo chini ya Sekta hiyo katika ofisi za Wizara Mtumba, jijini Dodoma.



PICHA NA WUU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...