kesho ni bigi mechi ya yanga na simba. jana asubuhi nilitembelea neshno na kukuta hawa jamaa wakipita huku na kule wakifukiafukia vitu uwanjani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hivi mpaka leo hii bado wanaendelea na huu ujinga ?

    ReplyDelete
  2. Hivi huo uwanja haufungwi au hauna walinzi ili watu wa namna hiyo wasiingie ndani?

    ReplyDelete
  3. jamani tunahitaji kuelimika hivi bado timu zetu zinaaamini ushirikina!!!!!kha!!!

    ReplyDelete
  4. Yanga 0 Simba 0. Kwahiyo kuna kila dalili za Yanga kuwa mabingwa tena mwaka huu. YANGA HOYEE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...