nampa mangumi gado mdogo, robert mwampembwa, a.k.a 'bi mkora', mmoja wa wachora katuni mahiri bongo. namsaka kaka yake naye nimpe kibano huko aliko...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Naam, Bw. Mdogo kazi yake naizimia. T'fadhali Mzee Michuzi, tutaarifu wapi Ibra Radi Washokera na Mzee wa Mwanza (najua unanipata kwenye Kava za Bongo na Sani)

    ReplyDelete
  2. Mi ananiacha hoi yule Zuzu, akili yake haimtoshi hata kuvuka barabara, kila anachowaza yeye ni kituko yaani akitoa wazo tu kaharibu

    ReplyDelete
  3. Michuzi mpaka leo bado unamachungu na GADO wa kenya. Kweli nimeamini ukweli unauma sana. GADO baada ya kuwaeleza ukweli TZ MEDIA kujipendekeza kwa JK na kutuandikia habari za uongo wananchi ili kijiweka karibu na kikwete.Nakushauri kabla ya kukmtafuta GADO anza MBOWE wa CHADEMA kwa kuwaeleze kwamba TZ MEDIA mnawabaka wananchi kwa kijipendekeza kwa JK.MBOWE yupo karibu zaidi kutoka ofisini kwako, kuliko GADO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...