NIMEOMBWA NIWEKE TANGAZO HILI TOKA KIGAMBONI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hii ni faida ya utamaduni mpya ulioshamiri tanzania wa michango ya sherehe.karaha yake ni pale unaposhindwa kuhudhuria harusi ya mpwa wako kwa sababu ukutoa mchango.hizi harusi zimekuwa kama temporary companies ambapo shareholders tu ndio wanaruhusiwa kushiriki,na share inapatikana kwa kutoa mchango.

    ReplyDelete
  2. Hili tangazo linanikumbusha matangazo ya waganga wa kienyeji yaliyojaa Nairobi na Kampala. Yoote yameandikwa...Mganga maarufu kutoka Sumbawanga Tanzania...Mganga Fimbo ya Wachawi kutoka Tanga na mengine mengi. Kwani Watanzania ndio tunaongoza kwa uchawi Afrika Mashariki?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...