wananchi wakiingia kwenye pantoni kuvuka kwenda kigamboni. adha hii itapungua pindi daraja litapojengwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hivi michuzi, hilo daraja ulilosema litajengwa lini?

    ReplyDelete
  2. Michuzi hili daraja ni gumzo waliloliacha baba zetu nasi tutawachia watoto wetu wawaachie wajukuu zetu!Labda wahusika wanangojea ajali maana watu wameshaponea chupuchupu sana hapo!Kimaendeleo daraja linahitajika haraka ili jiji lipanuke ng'ambo ya pili kule kigamboni maana huku mjini msongamano umezidi na jiji tayari linaanza kufika kibaha!
    Joel.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...