wafanyakazi wa idhaa ya Kiswahili ya bbc wakiwa na baba yao danstan tido mhando (njano) wakati wanamuaga rasmi jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. tunaomba majina ya wote tafadhali michuzi maana huwa tunasikia sauti tu ni vizuri tukiwafahamu kwa sura oia asante.

    ReplyDelete
  2. Michuzi..

    Tido Muhando amestaafu au amepata majukumu mengine?

    ReplyDelete
  3. Kaka Michuzi naomba unifahamishe nani ni Juma Nkamia katika hao.Na kama hayupo yuko wapi kwa sasa kikazi?Jamaa anatangaza mpira hadi msikilizaji napata furaha.

    ReplyDelete
  4. Brother Michuzi
    Katika picha hiyo niwajuao ni kama ifuatavyo:

    Wa kwanza kushoto ni Ali Saleh, Mariam Omar mwenye hijab na mtandio wa bluu ni Suluma Kassim, anaefuatia kwa Suluma ni Peter Musembi, wa kwanza kulia katika picha ni Hassan Mhelela.

    Juu ya Ali Saleh ni Saidi Yakubu, mwenye miwani juu yake Tido ni Alex Mureithi then Idd Seif na anaetabasamu juu ya Suluma ni Waihenya Kabiru.

    Juu yake Waiheyna ni bosi mpya Solomon Mugera na mwenye miwani na kofia ni Ali Mutasa anaefuatia ni Alice wa BBC AFRICAN PRODUCTIONS na mwisho kushoto ni Charles Hillary.

    MTANZANIA 1:10 AM Juma Nkamia hayumo kwenye picha hiyo.

    ReplyDelete
  5. Brother Michuzi

  6. Tido my hero. Jamaa alikuwa mahiri sana na ni kichwa mno. Aliwasumbua sana alipokuwa akiwahoji wanasiasa uchwara wa kiafrika. Asante kaka Tido rudi nyumbani uwekeze hayo map-paundi sasa.

    ReplyDelete
  7. Huyo dada nyuma ya Mhando wenye black court na yellow skirt analipa. Chakula ya nani huyo, maana mie nimeshamtamani. Nitakuja London Bush House nimwone.

    ReplyDelete
  8. Introduction please bwana Michuzi, make huyo dada alovaa kiislamu kafanana na ANNA KAHAMA je karudia kupractice uislamu? Mana aliwahi kuwekwa ndani kimada na mwarabu/mhindi na kubadilishwa dini hapa Dar na practically alikuwa ka mke, na alijifunza mpaka na dua za kiislamu KABLA HAJAOLEWA NA YULE MTOTO WA RUPIA. Sasa tunajua ndoa imekufa na alikuwa ana bwana wa kizungu, je ka huyu ni yeye sasa amerudi kuwa na uislamu au? kulikoni?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...