nashukuru kupewa heshima ya kupiga picha kikosi kizima cha timu ya mtibwa shuga ya turiani, morogoro, na nafanya juhudi timu zetu zote za bongo zipate picha namna hii.

mbele toka shoto: abubakar mkangwa, mecky maxime, yasin gembe (dokta), james aggrey siang'a (kocha mkuu), salum mayanga (kocha msaidizi), patrik mwangata (kocha wa makipa), nizar khalfani na ibrahim mwaipopo.

kati toka shoto: shaana nditi, saidi mkopi, abdallah juma, abdi kassim, meshack abel, dickson daudi, francis chinjili, victor bundala, geoffrey magori, salum swedi na zuberi katwila.

nyuma toka shoto: kassim issa, amir maftaha, omar matuta, aldina hashim, omar ally, abdul salim, soud slim, geoffrey mhando, maulidi nyaga na kassim mwabuda.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hivi hii timu mbona safari hii haifanyi vizuri katika ligi kuu?

    ReplyDelete
  2. hii timu wachezaji wake hawali vizuri.sijui timu nyingine wanakula vipi,ila kuna kipindi nilikuwa chuo cha MUM(zamani chuo cha TANESCO)morogoro na hii timu iliweka kambi hapo.hawa wachezaji walikuwa wanakula hotpot moja na sisi.halafu wanapewa ml 500 za maji kwa siku.nikaona kwa style hiyo lazima kipaji kididimizwe.kuna habari nilisoma kuwa YANGA wanaomba posho za wachezaji zipandishwe toka sh.1000(elfu MOJA) kwa siku wakiwa dar es salaam na 5000(elfu TANO)kwa siku wakiwa mikoani.sasa kwa posho kama hiyo mchezaji atakuza vipi kipaji.TUWEKEZE KWENYE KANDANDA PIA JAMANI.

    ReplyDelete
  3. Picha nzuri sana Michuzi. Kweli hapo uliwashauri ki-proffesional. Endeleza juhudi hizi za kila timu zipatikane.

    ReplyDelete
  4. Starehe ya timu za bongo, jezi anatoa mdhamini wa ligi, lakini kiatu kila mtu chake! Hata PEKU we haya weee!

    ReplyDelete
  5. Dear Tanzania Friends, is there anyone that have a good website to Tanzania football league and nes, and website of Mtibwa club?

    Hope some have news for me!


    Tank you all in advance.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...