Home
Unlabelled
josiah
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kibira ni handsome jamani. Ameoa? Na kwenye sinema yake kuna nafasi za wanawake?
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteSamahani ilibidi ni-delete first post maana niliweka wrong e-mail.
ReplyDeleteWenye maswali kuhusu film ya Bongoland 2, wanaweza kunicontact pia.
My e-mail is: chemiche3@yahoo.com
...wewe chemi pale kanisani ulilia utafikiri kweli...did you practice that(kulia)? good job na karibu tena Minneapolis!!
ReplyDeleteKWAKO CHEMI-CHE MPONDA NA JOSIAH KIBIRA. HIVI HIZO FILAMU ZENU MTALETA LINI BONGO ILI TUNUNUE? AU MNATENGENEZA KWA AJILI YA WALIO NJE YA TANZANIA TUU. IPENDENI NCHI YENU, LETENI KAZI ZENU TUZITHAMINISHE PIA VIJANA WA BONGO WAJIFUNZE TOKA KWENU. NAOMBA MZINGATIE OMBI HILI. MAANA SASA INAKUWA KAMA MNAMRINGISHIA MBWA MWENYE NJAA NYAMA YA MFUPA..
ReplyDeleteKwa anonymous wa 6:49am. Asante sana kwa comments zako. Niatakaribia tena Minnesota. Nimefanya actor training hapa USA na Tanzania.
ReplyDeletehttp://www.imdb.com/name/nm0154728/
Kwa anonymous wa 8:02am, Bwana Kibira anafanya jitihada kusudi mweze kutpata DVD za Tusmamehe Bongo. Nadahani hizi za sasa ni NTSC format na kule mnahitaji PAL format. Unaweza kucheki website yake for updates:
http://www.kibirafilms.com