baada ya kutoka kwa watani wetu wa jadi, niko hapa kwa siku mbili tatu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Kumbe waarabu wameendelea!

    ReplyDelete
  2. Nimekata nywele za...kusudi thong ibane vizuri!

    ReplyDelete
  3. Michuzi kaka we jilie tu hii nchi maana ni wakati wako.Vp ukitoka huko utaunganisha mpaka mashariki ya mbali kwenye msafara wa presidaa?Tunakosa uhondo wa huko.Picha za JK,mamaa Salma na msafara mzima wa rais.Salimia waarabu wote.

    ReplyDelete
  4. Kaka Michuzi siku hizi unaonekana kama dingi wa mapesa! Ile jeketi uliyokuwa unavaa ukiwa unapiga picha YMCA Disco uweke kama kumbukumbu.

    ReplyDelete
  5. ANHAA TUMESHAKUELEWA KUWA SASA UNAELEKEA JAPAN KWA MJOMBA WAKO. MAMBO YA NAIROBI ILIKUWA GERESHA!

    ReplyDelete
  6. Hivi wewe Michuzi ni mwandishi ama mfanyabiashara......maana hiyo miguu,kutwa inapepea.Ukaona mpaka upige picha palipoandikwa Dubai....tukubali sio?Wabongo bwana!

    ReplyDelete
  7. Kweli upo Dubai?
    Tutafute basi watanzania wenzako!
    +971503491001

    ReplyDelete
  8. vipi michuzi safari hii wamekutema nini huendi kwenye msafara wa rais?nenda bwana tupate uhondo wa huko,hawajui kuwa wewe ni mtu wa maana kwenda maana unatupatia habari za papo kwa papo!waombe basi wakuchukue

    ReplyDelete
  9. Michuzi kila leo ni safari, sasa mkeo akilalamika utafanyaje? kumbuka bongo kuna wapenda wake za watu shauri yako. Anyway, blog yako iko interactive lakini chambua picha zenye maudhui mema sio kutuwekea gabbage sometimes.

    ReplyDelete
  10. Michuzi kwa kupenda sifa ni namba moja, sasa huyo ni nani?

    ReplyDelete
  11. Huyo aliyepiga picha na Michuzi ni Mtanzania yeye ni Mwakilishi wetu katika Ubalozi wetu mdogo wa Tanzania pale Dubai

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...